KCSE ONLINE REVISION CLASS FOR KISWAHILI
BONYEZA HAPA ILI KUJIUNGA NA KUANZA KUDURUSU
CLICK HERE TO JOIN THE ONLINE CLASS
Tutafanya udurusu wa kazi ya kidato cha nne ili kujitayarishia mtihani wa kitaifa. Tutashughulikia mada vitengo vifuatavyo:
1. Sarufi 2. Ushairi 3. Insha 4. Isimujamii 5. Fasihi Andishi: Kigogo, Chozi la Heri na Tumbo Lisiloshiba.
Wasiliana nasi kwa 0702371829
Whatsapp Click here
TUTASHUGHULIKIA YAFUATAYO
1. KARATASI YA KWANZA: INSHA
A. Insha ya Kiuamilifu/Ya lazima
B. Insha ya Mjadala
C. Insha Methali
D. Insha ya Mdokezo
2. KARATASI YA PILI
A. Ufahamu
B. Uarufifupisho
C. Sarufi
D. Iimujamii
3. KARATASI YA TATU
A. Ushairi
B. Fasihi Andishi: Kigogo, Chozi la Heri, Tumbo Lisiloshiba
C. Fasihi Simulizi
Add a comment in the comment section/ Toa maoni au uliza swali katika sehemu ya maoni hapa chiniπ