TAMTHILIA YA KIGOGO: ATHARI YA SUMU YA NYOKA SAGAMOYO
1)    Vifo- Ngao junior
2)    Watu wanageuka vipofu-Mngweni kwa mama pima
3)    Ukengeushi mf. Ngurumo
4)    Kuanguka chini ovyo ovyo na kugaragara-walevi mangweni
5)    Wanafunzi katika shule ya Majoka wamegeuka
vichwa  maji- ni makabeji
6)    Walevi hawafahamu athari za ulevi.
7)    Hawaoni athari ya soko kufungwa- Chapakazi
8)    Kupotosha vijana ( gume gume)
9)    Kupotoka kwa maadili
10)Kuvunjika kwa ndoa
11)Waathiriwa wanatumiwa na viongozi kutekeleza maovu mf. Ngurumo
kumvinja Tunu muundi.
12)Utepetevu ( uzembe) wanashinda ulevini na kupoteza muda.
13)Kuwaunga mkono viongozi  wasiowajibika baada ya kupewa
vipeni. ( vibaraka) kama vile Ngurumo
14)Kutumia lugha chafu/ matusi mf Ngurumo kumtusi Tunu.
15)Kukosa wachumba/ ukapera mf Ngurumo
16)Dharau-Ngurumo kumdharau Tunu na kumwimbia wimbo wa Kuolewa-wa Daudi
Kabaka
17)Kufuja pesa
18)Kutofuata maagizo – Chopi hakufuata maagizo ya kumuua Tanu.