BLOG VISITORS

Tuesday, June 16, 2020

MIUNDO YA NOMINO KATIKA NGELI ZA KISWAHILI


MIUNDO YA NOMINO KATIKA NGELI ZA KISWAHILI
Maana ya ngeli
Ngeli ni makundi mbalimbali ambapo maneno ya Kiswahili yamegwaika. Ni migawo mbalimbali ya maneno ya Kiswahili.

Tanbihi: Katika othografia/ maandishi, ngeli huandikwa kwa herufi kubwa.
Makala haya yanashughulikia miundo mbalimbali ya maneno katika baadhi ya ngeli za Kiswahili.

Ni wazi kwamba maneno tofautitofauti katika ngeli mahususi huchukua maumbo mbalimbali tofauti. Makala haya yanashughulikia maumbo hayo tofauti ya maneno katika ngeli.



NGELI YA A-WA

1.     Muundo wa M-WA- maneno haya huanza kwa M katika umoja na WA katika wingi. Mfano,
mtoto
watoto
mjomba
Wajomba
mwana
Wana
mzee
Wazee
mtemi
watemi

2.     Muundo wa CH-VY. Maneno haya huanza na CH katika umoja VY katika wingi. Mfano,

chura
Vyura



3.     Muundo wa M-MI.

NGELI YA LI-YA

KWA NGELI ZINGINEZO, BONYEZA HAPA

NGELI ZILIZISHUGHULIKIWA:

A-WA
LI-YA
U-ZI
KI-VI
U-I
I-I









Uliza swali moja kwa moja kupitia <WHATSAPP>



33 comments:

  1. Kazi nzuri sana.Nashukuru

    ReplyDelete
  2. Kazi nzuri sana hii

    ReplyDelete
  3. Kazi nzuri nashukuru

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kazi nzuri nashukuru sana

      Delete
    2. nashukuru sana

      Delete
    3. Inamaana kuwa nomino ambazo hazina wingi hazina miundo?

      Delete
  4. Safi sana nashukuru

    ReplyDelete
  5. Sadakta.
    Nashukuru sana

    ReplyDelete
  6. Napenda nzuri Sana

    ReplyDelete
  7. Hongera kwa kazi nzuri

    ReplyDelete
  8. Mbona ngeli ya KU haipo

    ReplyDelete
  9. Heko kwa kazi safi

    ReplyDelete
  10. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

    ReplyDelete

SPECIAL FEATURE-PHOTOSYNTHESIS

  PHOTOSYNTHESIS AND WHY IT IS IMPORTANT Photosynthesis and Why it is Necessary Photosynthesis is a critical process that sustains plants ...