BLOG VISITORS

Tuesday, April 14, 2020

FASIHI SIMULIZI


MASWALI YA FASIHI SIMULIZI


1.     Jadili majukumu ya nyimbo katika uwasilishaji wa hadithi (al.5)

2.     Ni nini maana ya miviga (al.2)


3.     Eleza sifa za miviga (al.8)

4.     Eleza hatari za miviga katika jamii (al.5)


5.     Eleza maana ya ngomezi (al.2)

6.     Kuna tofauti gani kati ya ngomezi na ngoma (al.4)


7.     Eleza udhaifu wa ngomezi (al.8)

8.      Ni nini maana ya nyombo hizi
a.     Hodiya (al.1)
b.     Sifo (al.1)
9.      Ni nini maana ya lakabu (al.2)

10. Eleza sifa za lakabu (al.8)


11. Tofautisha kati ya nahau na misimu (al.2)

12.  Eleza sifa za nahau (al.8)


13.  Eleza umuhimu wa ukusanyaji wa data katika fasihi simulizi (al.10)

14. Fafanua sifa za mawaidha kwa kuzingatia
a.     Hadhira
b.     Fanani
c.      Maudhui
d.     Fani
15. Fafanua sifa za mlumbi bora katika fasihi simulizi (al.10)

16.  Eleza umuhimi wa fomyula ya ufunguzi katika hadithi. (al.5)

17.  Tofautisha kati ya maghani hizi; (al.4)
a.      Rara
b.     Tendi
18.  Fafanua umuhimu wa maigizo ya watoto na vichekesho (al.10)

19.  Taja miktadha mitano ambamo ulimbi hutmika katika jamii yako (al.5)

20.  Tofautisha kati ya Fasihi simulizi na fasihi andishi.

21.  Fafanua sifa za kimsingi zinazoifanya fasihi simulizi kuwa hai zaidi kuliko fasihi andishi. (al.10)
22.  “Fasihi ni moja tu.” Jadili kwa kutoa mifano. (al.10)

23.  Eleza jinsi jamii ya sasa inavyojaribu kuendeleza fasihi simulizi.

24.  Ni changamoto zipi ambazo mkusanyaji data katika fasihi simulizi huweza kukumbana nazo nyanjani (al.10)

25.  Jadili nafasi ya vifaa vifuatavyo vya ukusanyaji na uhifadhi wa data katika ukusanyaji wa fasihi simulizi. (al.10)
A.     Hojaji
B.     Video
C.     Kalamu na karatasi
26.  Jadili vipengele vitano katika uchanganuzi wa hadithi (al.10)

27.  Dhima ya pekee ya vitendawili ni kuburudisha. Jadili (al.5)
28.  Eleza sifa tano za vitendawili (al.5)

29.  Mighani na visasili hifanana na hutofautiana. Jadili (al.10)

30.   Kwa kutoa mifano, eleza sifa za nahau (al.10)

31.  Fafanua tofauto kati ya mafumbo na vitendawili (al.10)

32. Jadili sababu kumi za mtaala wa elimu kusisitiza  tamasha za muziki katika shule na vyuo. (al.10)

POST A COMMENT DOWN THERE πŸ‘‡

8 comments:

SPECIAL FEATURE-PHOTOSYNTHESIS

  PHOTOSYNTHESIS AND WHY IT IS IMPORTANT Photosynthesis and Why it is Necessary Photosynthesis is a critical process that sustains plants ...