WAHUSIKA KATIKA TUMBO LISILOSHIBA
Katika
fasihi, mhusika ni kiumbe aliyefasiriwa au kubuniwa na mtunzi, anayemwiga na
kufanana na kiumbe halisi duniani kwa kiasi Fulani. Kuna aina mbalimbali za
wahusika kama vile:
a) Mhusika
mkuu
Huyu ni
mhusika ambaye anajitokeza katika hadithi kwa kiasi kikubwa zaidi kuliko
wahusika wengine. Huweza kujitokeza kuanzia mwanzo hadi mwisho wa hadithi.
b) Wahusika
wadogo/ wasaidizi
Hawa ni
wahusika ambao hutangamana na mhusika mkuu na kumsaidia kuibua dhamira na
maudhui katika hadithi. Wahusika hawa hujitokeza kwa kiasi kidogo tu kwenya
hadithi na kisha kupotea.
Diwani ya Tumbo Lisiloshiba ina hadithi kumi na
tatu (13) na wahusika ni wafuatao.
TUMBO LISILOSHIBA-Said A. Mohamed
1.
Mzee Mago-Mhusika mkuu
2.
Mwene
3.
Kabwe
4.
Bi. Suruta
5.
Bi. Fambo
6.
Jitu
MAPENZI YA KIFAURONGO-Kenna Wasike
1.
Dennis- Mhusika mkuu
2.
Daktari Mabonga
3.
Penina (mpenzi wa Dennis)
4.
Shakila
5.
Wanafunzi chuoni
6.
Bwana Kitime- babake Penina
SHOGAKE DADA ANA NDEVU-Alifa Chokocho
1.
Safia -mhusika mkuu
2.
Bwana Masudi- babake Safia
3.
Bi. Hamida-mamake Safia
4.
Mkadi (Mtoto wa Habiba Chechei)
5.
Lulua (mnuna wake Safia)
6.
Kimwana (Shogake Safia)
SHIBE INATUMALIZA- Salma Omar Hamad
1.
Sasa
2.
Mbura –wahusika wakuu ni Sasa na
Mbura
3.
Mzee Mambo
4.
DJ
MAME BAKARI-Mohammed Khelef Ghassany
1.
Sara –mhusika mkuu
2.
Sarina- rafikiye Sara
3.
Beluwa- dadake Sarina
4.
Bi. Aluwiya- mamake Sara
5.
Babake Sara
6.
Mame Bakari- mtoto aliyezaliwa na
Sara
7.
Janadume
MASHARTI YA KISASA-Alifa Chokocho
1.
Kidawa- mhusika mkuu
2.
Dadi- mumewe Kidawa
3.
Bi. Zuhura
4.
Mwalimu mkuu
NDOTO YA MASHAKA-Ali Abdulla Ali
1.
Mashaka- mhusika mkuu
2.
Waridi-mkewe Mashaka
3.
Biti Kidebe
4.
Ma Mtumwa- mamake Mashaka
5.
Babake Mashaka
6.
Mzee Rubeya-babake Waridi
7.
Shehe Mwinyimvua
8.
Mansuri-kakake Waridi
9.
Idi- rafiki ya kakake Waridi
10. Chakupewa
KIDEGE- Robert W. Oduori
1.
Mose/ Musa
2.
Joy
3.
Achesa
4.
Shirandula
NIZIKENI PAPA HAPA-Ken Walibora
1.
Otii-mhusika mkuu
2.
Rafiki yake Otii
3.
Rehema Wanjiru
4.
Mwenye kiti wa Chama cha Nyumbani
5.
Katibu wa chama cha watu wa
nyumbani
6.
Chama cha watu wa Nyumbani
TULIPOKUTANA TENA-Alifa Chokocho
1.
Sebu-msimulizi
2.
Tunu- mkewe Sebu
3.
Kazu
4.
Bi. Temu- mkewe Kazu
5.
Bogoa
6.
Sakina- mkewe Bogoa
7.
Bi. Sinai
MWALIMU MSTAAFU-Dumu Kayanda
1.
Mwalimu mstaafu Mosi- mhusika
mkuu
2.
Jairo- mwanafunzi wa mwalimu Mosi
(zuzu)
3.
Wanafunzi
4.
Bi. Sera- mkewe Mwalimu Mosi
5.
Sabina- bintiye Jairo
6.
Mkewe Jairo
7.
Mfawidhi wa sherehe
MTIHANI WA MAISHA- Eunice Kimaliro
1.
Samweli Matandiko- mhusika mkuu
2.
Mwalimu Mkuu
3.
Nina- mpenzi wake Samweli
4.
Mamake Samweli
5.
Babake Samweli
6.
Bilha na Mwajuma- dada zake
Samweli
7.
Mwamamume mmoja
8.
Wanakijiji
MKUBWA- Ali Mwalimu Rashid
1.
Mkubwa- mhusika mkuu
2.
Mkumbukwa
3.
Bi. Kibwebwe (Sada)
4.
Kijana/ vijana
5.
Profesa
6.
Askari wa bandarini
7.
Ng’weng’we wa Njagu
8.
Wafungwa
TOA MAONI AU ULIZA SWALI HAPO KWENYE SEHEMU YA COMMENT 👇
can i get plz a pdf of maeneo yaliyotajwa katika tumbo lisiloshiba
ReplyDeleteEnter your
ReplyDeletecomment...thanks a lot guys and plz can I get wahusika baapa katika hadithi ya mwalimu mstaafu
Thank you very much and may I get Characteristics of characters (Sifa za wahusika)
ReplyDeleteNaomba kupata sifa za mzee mago
ReplyDeleteCa I get sifa za wahusika
DeleteNataka sifa za wahusika katika tumbo lisiloshiba
ReplyDeleteShukran tele
ReplyDeleteNahitaji Sifa za wahusika Na maudhui katika tumbo lisiloshiba
ReplyDeleteTuma 200 kwa 0702371829 kisha utumiwe.
DeleteNaomba sifa za wahusika wa tumbo lisiloshiba
ReplyDeleteNahitaji pia sifa zote za wahusika na maudhui katika kitabu , tumbo lisilishiba na hadithi .....
ReplyDeleteI need sifa za wahusika katika tumbo lisiloshiba
ReplyDeleteNaomba kujua sofa za wahusika katika hadithi ya mame bakari
ReplyDeleteNasihi mnieleze sifa za utingo katika hadithi ya mkubwa katika tumbo lisiloshiba
ReplyDeleteNataka sifa za make bakari
ReplyDeletenieleze sifa za mhusika Mose
ReplyDelete