MAUDHUI TAWALA KATIKA DIWANI
YA TUMBO LISILOSHIBA
Makala haya
yanashughulikia baadhi ya maudhui ambayo yanajitokeza katika zaidi ya hadithi
moja katika msururu wa hadithi katika hadithi fupi ya Tumbo Lisiloshiba.
MAUDHUI
|
HADITHI
|
MIFANO
|
Umasikini
|
1.
Tumbo Lisiloshiba
2.
Mapenzi ya Kifaurongo
3.
Ndoto ya Mashaka
4.
Nizikeni papa hapa
|
1.
Eneo
la Madongoporomoka na Wanaoishi hapo.
2.
Dennis
Machora na wazazi wake.
3.
Nyanya
yake Mashaka na Mashaka mwenyewe.
4.
Otii
na watu wa nyumbani.
|
Utabaka
|
I.
Tumbo lisiloshiba
II.
Mapenzi ya Kifaurongo
III.
Shibe inatumaliza
IV.
Ndoto ya Mashaka
V.
Kidege
|
I.
Matajiri
wanaomiliki majumba mijinina masikini wa Madongoporomoka.
II.
Familia
ya Dennis ni masikini ilhali ya Panina ni tajiri.
III.
Nyanya
yake Mashaka ni masikini ilhali wazazi wake Penina ni matajiri.
IV.
Videge
na visamaki.
|
Elimu
|
1)
Mame Bakari
2)
Mapenzi ya Kifaurongo
3)
Shogake Dada ana Ndevu
4)
Mwalimu Mstaafu
5)
Mtihani wa Maisha
|
1)
Sara
anabakwa na Janadume anapotoka kusoma.
2)
Dennis
Machora, Penina na wanafunzi wengine wako chuoni. Daktari Mabonga pia.
3)
Mwalimu
Mstaafu Mosi anawafunza wanafunzi wengi.
4)
Samweli
Matandiko anafeli mtihani. Dada zake Bilha na Mwajuma pia wanasoma katika
shule ya Busukalala.
|
Tamaa
|
a)
Tumbo Lisiloshiba
b)
Shibe inatumaliza
c)
Mkubwa
d)
Mapenzi ya Kifaurongo
|
a)
Viongozi
wanatamani ardhi ya Wanamadongoporomoka. Jitu lina tamaa.
b)
Sasa
na Mbura wanakula kupita kiasi kutokana na tamaa.
c)
Mkubwa
anatamani awe kiongozi ili aifanye vyema biashara ya unga.
d)
Penina
anatamani Dennis Machora awe mpenzi wake.
|
Ukatili
|
1.
Mapenzi ya Kifaurongo
2.
Tumbo Lisiloshiba
3.
Mtihani wa Maisha
4.
Kidege
5.
Mame Bakari
|
1.
Penina
anafukuza Dennis Machora kutoka kwake baada ya Dennis kukosa kazi.
2.
Askari
wa Baraza la mji wanabomoa vibanda vya wenyeji. Jeshi la polisi linawapiga
virungu watu wasio na kosa.
3.
Babake
Samweli Matandiko anampa Kamba ili ajimalize baada ya Samweli kutaka kujiua.
4.
Midege
inavivamia visamaki na kuanza kuvila.
5.
Watu
wanalivamia jitu ambalo lilimbaka Sara na kuliua kwa matofali.
|
Ushirikiano
|
A.
Tumbo Lisiloshiba
B.
Ndoto ya Mashaka
C.
Nizikeni Papa Hapa
|
A.
Wanamadongoporomoka
wanatumia umoja wao kuhakikisha kwamba ardhi yao haijanyakuliwa.
B.
Wanyonge
wanashirikiana kuandaa maandamano ambayo yanabadilisha maisha na kila kitu
kunakuwa sawa. Utabaka unaisha.
C.
Wanachama
wa Chama cha Watu wa wanashirikiana na kumchangia Otii pesa za kumsafirisha
kwa nyumbani Sidindi.
|
Uozo katika Jamii
|
1.
Tumbo Lisiloshiba
2.
Shogake Dada ana Ndevu
3.
Shibe Inatumaliza
4.
Mame Bakari
5.
Masharti ya Kisasa
6.
Nizikeni Papa Hapa
7.
Mkubwa
8. Kidege |
1.
Ukatili
wa Jitu na Askari wa Baraza la Mji
2.
Safia
kufanya mapenzi na shogake badala ya kusoma.
3.
Ulafi
wa Mzee Mambo, Sasa, Mbura na Dj.
4.
Kubakwa
kwa Sara na Janadume.
5.
Kukosa
uaminifu katika ndoa.
6.
Mapuuza/
maradhi kutokana na mapenzi ya kiholela
7.
Uuzaji
na matumizi ya dawa za kulevya.
8. Joy na Achesa wanabingiria na kutulia huku midomo yao anashikana. Ishara ya mapenzi hadharani. |
- WAHUSIKA KATIKA TUMBO LISILOSHIBA
- UFAAFU WA ANWANI TUMBO LISILOSHIBA
- MASWALI YA TUMBO LISILOSHIBA
- MTIHANI WA MAISHA
Uliza swali moja kwa moja kupitia <WHATSAPP>