1.
Jadili
majukumu ya nyimbo katika uwasilishaji wa hadithi (al.5)
2.
Ni nini maana ya miviga
(al.2)
3.
Eleza sifa za miviga (al.8)
4.
Eleza hatari za miviga
katika jamii (al.5)
5.
Eleza maana ya ngomezi
(al.2)
6.
Kuna tofauti gani kati ya
ngomezi na ngoma (al.4)
7.
Eleza udhaifu wa ngomezi
(al.8)
8.
Ni nini maana ya nyombo hizi
a.
Hodiya (al.1)
b.
Sifo (al.1)
9.
Ni nini maana ya lakabu (al.2)
10.
Eleza sifa za lakabu (al.8)
11.
Tofautisha kati ya nahau na
misimu (al.2)
12.
Eleza sifa za nahau (al.8)
13.
Eleza umuhimu wa ukusanyaji wa data katika
fasihi simulizi (al.10)
14.
Fafanua sifa za mawaidha
kwa kuzingatia
a.
Hadhira
b.
Fanani
c.
Maudhui
d.
Fani
15.
Fafanua sifa za mlumbi bora
katika fasihi simulizi (al.10)
16.
Eleza umuhimi wa fomyula ya ufunguzi katika
hadithi. (al.5)
17. Tofautisha kati ya maghani hizi; (al.4)
a.
Rara
b.
Tendi
18. Fafanua umuhimu wa maigizo ya watoto na
vichekesho (al.10)
19. Taja miktadha mitano ambamo ulimbi hutmika katika jamii yako
(al.5)
20. Tofautisha kati ya Fasihi simulizi na fasihi andishi.
21. Fafanua sifa za kimsingi zinazoifanya fasihi simulizi kuwa
hai zaidi kuliko fasihi andishi. (al.10)
22. “Fasihi ni moja tu.” Jadili kwa kutoa
mifano. (al.10)
23. Eleza jinsi jamii ya sasa inavyojaribu kuendeleza fasihi
simulizi.
24. Ni changamoto zipi ambazo mkusanyaji data katika fasihi
simulizi huweza kukumbana nazo nyanjani (al.10)
25. Jadili nafasi ya vifaa vifuatavyo vya ukusanyaji na uhifadhi
wa data katika ukusanyaji wa fasihi simulizi. (al.10)
A.
Hojaji
B.
Video
C.
Kalamu na karatasi
26. Jadili vipengele vitano katika uchanganuzi wa hadithi
(al.10)
27. Dhima ya pekee ya vitendawili ni kuburudisha. Jadili (al.5)
28. Eleza sifa tano za vitendawili (al.5)
29. Mighani na visasili hifanana na hutofautiana. Jadili (al.10)
30. Kwa kutoa mifano,
eleza sifa za nahau (al.10)
31. Fafanua tofauto kati ya mafumbo na vitendawili (al.10)
32. Jadili sababu kumi za mtaala wa elimu kusisitiza tamasha za muziki katika shule na vyuo.
(al.10)
POST A COMMENT DOWN THERE π
Naitaji mwalimu
ReplyDeleteToa ujumbe zaidi ili ueleweke vyema.
DeleteNahitaji majibu
DeleteMajibu pia
ReplyDeletemajibu
ReplyDeleteMajibu ya fasihi simulizi
ReplyDeleteMajibu tafadhali
ReplyDeleteHi
ReplyDelete