MATUMIZI YA LUGHA –ALAMA 40
(a) Bainisha sauti mbili aina ya likwidi. (ala2)
…………………………………………………………………………………………………………
(b) Andika upya sentensi ifuatayo ukitujmia -0-
rejeshi tamati. (ala1)
Debe ambalo humwaga maji lina tundu.
……………………………………………….……………………………..
(c) Unda nomino mbili kutokana na kitenzi
‘dhalimu’ (ala2)
……………………………………………….……………………………..
(d) Neno ‘kiongozi’ ni mofimu aina
gani? (ala1)
……………………………………………….……………………………..
(e) Ainisha yambwa katika sentensi : (ala2)
Shivambo alimnunulia babake simu.
……………………………………………….……………………………..
(f) Huku ukitoa mfano, eleza maana
ya sentEnsi tatanishi. (ala2)
……………………………………………….……………………………..
(g) Iweke nomino ‘pua’ katika ngeli yake. (ala1)
……………………………………………….……………………………..
(h) Eleza
matumizi ya ‘li’ kama ilivyotumika katika sentansi ifuatayo: (ala1)
Tunda li mezani
……………………………………………….……………………………..
(i) Tunga sentensi ukitumia kiwakilishi cha
jumla katika ngeli ya KI-VI. (ala2)
……………………………………………….……………………………..
(j) Changanua sentensi ifuatayo ukitumia matawi. (ala4)
Amina hakwenda shuleni wala kuhudhuria
ibada.
……………………………………………….……………………………..
(k) Tumia kwa kutunga sentensi kuonyesha: (ala2)
(i)
Kitumizi
……………………………………………….……………………………..
(ii)
Umilikaji
……………………………………………….……………………………..
(l)
Ainisha virai katika sentensi ifuatayo. (ala2)
Amefundishwa kupika vizuri na mamake.
……………………………………………….……………………………..
(m) Eleza tofauti kati ya sentensi hizi. (ala2)
Angeimba vizuri angetuzwa
Angeliimba vizuri angelituzwa
……………………………………………….……………………………..………………….
………………………………………………………………………………………………….
(n) Tumga sentensi kuonyesha tofauti kati ya.
Landa na Randa
……………………………………………….……………………………..
(o) Kitenzi kwama kiko kauli (hali )ya
……………………………………………….……………………………..
(p) (i)
Nini maana ya nomino dhahania. (ala1)
……………………………………………….……………………………..
(ii)
Toa mfano mmoja wa nomino dhahania. (ala1)
……………………………………………….……………………………..
(q) Ukitoa mifano mwafaka, onyesha matumizi
mawili ya koloni katika sarufi ya Kiswahili.
……………………………………………….……………………………..
(r) Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa
taarifa.
“Mzee, gari la moshi huondoka
hapa saa ngapi?’’ Mgeni
aliuliza.
……………………………………………….……………………………..
(s) Andika kinyume cha sentensi hii. (ala2)
Kijakazi alihuzunika mtoto alipopotea.
……………………………………………….……………………………..
(t) Taja na ueleze aina ya kielezi kilichotumika
katika sentensi. (ala2)
Wanafunzi waadilifu washauriwa watembee
makundimakundi
……………………………………………….……………………………..……………………
ISIMU
JAMII –ALAMA 10
(a) Toa ushahidi kuwa Kiswahili
ni lahaja ya Kibantu.
……………………………………………….……………………………..
BOFYA HAPA KWA 'O' NA 'AMBA' REJESHI POST A COMMENT DOWN THERE π
BOFYA HAPA KWA 'O' NA 'AMBA' REJESHI POST A COMMENT DOWN THERE π
Kazi safi
ReplyDeleteKazi nzuri sana. Pongezi zote kwenu
ReplyDeleteTunashukuru kwa pongezi zenu.
Delete