MATUMIZI
YA LUGHA
(ALAMA 40)
(a)
(i) Eleza maana ya silabi fung (alama 1)
…………………………………………………………………………………………
(ii) Andika na uonyeshe silabi funge kwenye neno.
(alama 2)
…………………………………………………………………………………………
(b) Tumia neno Uganda na nomino zilizotajwa
kwenye mabano katika sentensi kama;
(i) Kivumishi (nomino
ya pekee). (alama 2)
…………………………………………………………………………………………
(ii) Kielezi (Nomino ya ngeli ya A –
WA). (alama 2)
…………………………………………………………………………………………
(c) Tunga sentensi ukitumia:
(i) Kielezi namna kiigizi (alama 1)
…………………………………………………………………………………………
(ii)
Kivumishi cha pekee chenye maana ya “zaidi ya’’ pamoja na ngeli ya LI – YA. (alama 2)
………………………………………………………………………………………
………………………………………………………………………………………
(d) Yakinisha katika nafsi ya pili
umoja. (alama 2)
Tusipoelewana na walimu hatutapata amani
siku zote shuleni.
………………………………………………………………………………
e.
Bainisha mofimu katika neno: (alama 3)
Tukutiliaye
……………………………………………………………………………………………..…………
(f)
Geuza katika hali ya udogo wingi. (alama 3)
Jumba liliingiwa na jigombe ambalo lilikatwa
kia.
…………………………………………………………………………………
(g)
Ashiria vishazi katika sentensi: (alama 2)
Alikuja shuleni ingawa ni mgonjwa
…………………………………………………………………………………
(h)
Tunga sentensi ukitumia kihusishi “katika” kutoa dhana ya hali. (alama
1)
………………………………………………………………………………
(i) Eleza tofauti ya kimaana katika
sentensi hizi. (alama 2)
(i) Nilapo hushiba
(ii) Ninapokula hushiba
……………………………………………………………………………………………..…………
(j) Tunga sentensi inayoonyesha –ki-
ya masharti kujumuisha. (alama 1)
……………………………………………………………………………………………..…………
(k)
Tunga sentensi yenye yambwa tendwa na yambwa tendewa.
(alama 2)
……………………………………………………………………………………………..…………
(l)
Andika sentensi mbili ukionyesha
matumizi mawili tofauti ya nukta pacha. (alama
2)
……………………………………………………………………………………………..…………
(m)
Eleza maana ya sentensi hizi kwa kuzingatia sehemu zilizopigiwa mstari. (alama 2)
(i)
Maziwa
yamegandama
(ii)
Mama
amepakata mtoto
……………………………………………………………………………………………..…………
(n) Bainisha jinsi maneno yaliyopigiwa mstari
katika sentensi zifuatazo yalivyotumika. (alama 2)
(i) Ni muhimu
kudumisha lugha asili.
(ii) Mpaka sasa asili yake haijulikani.
……………………………………………………………………………………………..…………
(o)
Tofautisha maneno yafuatayo kwa kuyatungia sentensi. (alama
2)
(i) Okoa
(ii) Ongoa
……………………………………………………………………………………………..…………
(p)
Tunga sentensi kwa kutumia neno walakini kuleta maana ya: (alama 2)
(i)
Kiunganishi
(ii)
Kasoro
……………………………………………………………………………………………..…………
(q) Changanua sentensi ifuatayo ukitumia
mchoro wa matawi. (alama 4)
Ingawa Musa alikuwa amepona,
aliaga dunia leo.
……………………………………………………………………………………………..…………
(a) Tofautisha kati ya kuhamisha msimbo
na kuchanganya msimbo. (alama 2)
……………………………………………………………………………………
(b)
Taja mambo mawili yanayoonyesha udhaifu katika mazungumzo na huchangia katika
uhamishaji
wa msimbo. (alama 2)
…………………………………………………………………………………
(c) Taja kaida mbili zinazotawala matumizi ya maamkizi katika jamii huku ukitoa mifano mwafaka.
(c) Taja kaida mbili zinazotawala matumizi ya maamkizi katika jamii huku ukitoa mifano mwafaka.
(alama 2)
………………………………………………………………
(d) Fananisha sifa zozote nne za sajili
za maabadini na mahakamani. (alama 4)
………………………………………………………………………………
No comments:
Post a Comment