MFANO WA SHAIRI HURU
SEHEMU YA A: USHAHIRI
SHAIRI ‘A’
(i) Umekata
mti mtima
Umeangukia
nyumba yako
Umeziba
mto hasira
Nyumba
yako sasa mafurikoni
Na
utahama
Watoto
wakukimbilia
(ii) Mbuzi
kumkaribia chui
Alijigeuza
panya
Akalia
kulikuwa na paka
Kichwani
Mchawi
kutaka sama kutisha
Alijigeuza
samba
Akalia
na risasi kichwani
(iii) Jongoo wapi sasa yatakwenda
Bwanako
kumpa sumu?
Hadija
umeshika nyoka kwa mkia
Hadija
umepitia nyuma ya punda
Jogoo
kataka sana kukimbia
Aliomba
miguu elfu
(iv) Akaachwa na nyoka
Hadija
wapi sasa
Bwanako
kumpa sumu?
Hadija
umashika nyoka kwa mkia
Hadija
amepita nyuma ya punda
SHAIRI ‘B’
Piteni
jamani,piteni haraka
Nendeni
,nendeni huko mwendako
Mimi
haraka, haraka sina
Mzigo wangu,mzigo mzito mno
Na
chui sitaki kuweka
Vijana
kwa nini hampiti?
Kwa
nini mwanicheka kisogo?
Mzigo
niliobeba haupo.
Lakini
umenipinda mgongo na
Nendako
Haya
piteni!piteni haraka!Heei!
Mwafikiri
mwaniacha nyuma!
Njia
ya maisha ni moja tu.
Huko
mwendako ndiko nilikotoka
Na
nilipofikia wengi wenu
Hawatafika
Kula
nimekula na sasa mwasema
Niko
nyuma ya wakati
Lakini
kama mungepita mbele
Na
uso wangu kutazama
Ningemwambia
siri ya miaka
Mingi
Maswali
(a)Haya ni mashairi ya aina gani?Toa sababu. (Alama
2)
(b)Washairi hawa wawili wanalalamika.Yafafanue
malalamishi yao. (Alama 4)
(c)Onyesha jinsi kinaya kinavyotokeza katika
tungo hizi mbili. (Alama4)
(d) Ni vipi Hadija :-
(i) Amekata mti mtima? (Alama 2)
(ii) Amepita nyuma ya punda. (Alama 2)
(e) Toa mifano miwili ya uhuru mshairi kwa
kurejelea mashairi haya. (Alama
2)
(f) kwa kurejelea shairi ‘B’ eleza maana
ya:-
(i) Mzigo
(ii) Siri
(iii) Kula nimekula
(iv) Niko nyuma ya wakati.(Alama 4)
###KWA MASWALI YA FASIHI SIMULIZI, GUSA HAPA###
###KWA MASWALI YA KIGOGO, BONYEZA HAPA###
###KWA MASWALI YA TUMBO LISILOSHIBA, GUSA HAPA###
Uliza swali moja kwa moja kupitia <WHATSAPP>
No comments:
Post a Comment